Quantcast
Channel: AFRICAN FASHION – styles 2d
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1935

Mishono ya African kitenge kama kawa

$
0
0

Kifupi kitenge ni sawa na mchele. Kwamba mchele mmoja lakini mapishi ni mengi. Kila mmoja na upishi wake. Vivyo hivyo kwa kitenge. Kitenge ni kimoja lakini kila mmoja hukishona apendavyo. Waweza shona gauni, sketi na blauzi, suruali na hata kaptula. Wala hugombwi ili radi roho yako imependezwa nao. Hebu cheki mishono hii mdau wangu. Mzuri chukua mbaya achana nao.

The post Mishono ya African kitenge kama kawa appeared first on Styles 2d.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1935

Trending Articles